Inno Loemba Akabidhiwa Gari Aina ya Toyota Crown Simba SC,Jayrutty Yaanza Kutimiza Ahadi kwa Nyota wa Simba
Inno Loemba akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown na Jayrutty Investment kama sehemu ya motisha kwa wachezaji wa Simba SC. Soma habari kamili kuhusu zawadi hiyo na mipango ya kuwazawadia Libasse Gueye, Anicet Oura na Djibrilla Kassali. Yaliyomo (Table of Contents) Inno Loemba Akabidhiwa Gari Aina ya Toyota Crown Simba SC Kiungo mshambuliaji wa Simba…
