Jezi Mpya Simba Sc Agosti 31
Mashabiki wa Simba SC wameshaanza kushtuka mapema baada ya taarifa mpya kutua rasmi kwamba jezi za msimu mpya sasa zitazinduliwa Jumapili ya tarehe 31 Agosti 2025 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa Agosti 28. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika kwa ubora wa hali ya juu katika ukumbi wa kifahari wa The Super Dome, Masaki jijini Dar…
