Msuva Majanga Tupu
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa aliyekua mchezaji wao raia wa Tanzania, Simon Msuva ambapo mpaka sasa sababu ya kuvunja mkataba huo haijawekwa wazi. Kupitia mtandao wao wa kijamii wa Instagram wa klabu hiyo wameeleza kuwa wamevunja mkataba huo kwa amani na wanamtakia mafanikio…
