Chuga Anukia Yanga SC: Nyota Huyo Awasili Dar Kusubiri Utambulisho Rasmi
Chuga anukia Yanga SC baada ya taarifa kudai kuwa tayari amewasili Dar es Salaam na kukamilisha makubaliano ya kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania. Soma kila kinachoendelea kuhusu usajili huu. Chuga Anukia Yanga SC Baada ya Kufikia Makubaliano Tetesi za usajili katika Ligi Kuu Tanzania Bara zimezidi kushika kasi baada ya taarifa mpya kueleza kuwa…
