Red Arrows Mabingwa Kagame Cup
Klabu ya Red Arrows ya Zambia imeibuka mabingwa wa michuano ya Kagame Cup iliyokuwa inafanyika nchini Tanzania katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kuifunga APR Fc ya nchini Rwanda kwa penati 10-9 baada ya kutoka 1-1 katika dakika 90 za kawaida. Red Arrows inakuwa timu ya kwanza kutoka nje ya Ukanda wa Afrika…
