440303968 18417696097071034 8962242897231344742 n

Simba Sc Yabanwa Kagera

Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba wilayani Bukoba mkoani Kagera na kuambulia alama moja pekee. Sare hiyo imeiweka rehani nafasi ya pili ya ligi kuu baada ya Simba sc kuwa na wakati mgumu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks