Lebo: kaizer chiefs
Nabi Aangukia kwa Mabululu
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Sc Nasredine Nabi amevutiwa na mshambulia wa Al Ittihad ya Libya na sasa klabu yake ya Kaizer Chiefs imefungua mazungumzo rasmi na mshambuliaji huyo ili kumsajili kuunda kikosi kikali cha msimu ujao wa ligi kuu ya soka ya Mtn nchini Afrika ya Kusini. Kaizer Chiefs inafahamu kuwa mchezaji…
Simba Sc Waigomea Kaizer Chiefs
Klabu ya Simba sc imewasiliana na klabu ya Kaizer Chiefs kuwa haitafanya biashara ya kumuuza winga wao Kibu Denis Prosper ambae anahitajika na klabu hiyo chini ya kocha Nasredine Nabi. Katika taarifa hiyo klabu hiyo imeeleza kuwa hawana nia ya kumuachia mchezaji huyo kujiunga na Kaizer Chiefs kwakuwa bado wana malengo nae kuelekea msimu ujao…
Nabi Akomaa na Kibu Dennis
Kocha wa klabu ya Kaizer chiefs Nasredine Nabi ameonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Kibu Dennis kujiunga na klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu nchini humo. Nabi ambaye yupo nchini Tanzania kwa mapumziko baada ya ligi kuu ya nchini Afrika ya kusini kufika mwisho moja ya jambo alilolifanya ni kuzungumza na wawakilishi wa mshambuliaji huyo…
Kaizer Chiefs Yakomaa na Feisal
Uongozi wa Kaizer Chiefs utajaribu kutimiza ndoto za mashabiki wao kwa kumpata Feisal Salum kutoka klabu ya Azam Fc licha kuwa mchezaji huyo ana ofa nyingi ndani na nje ya nchi. Mashabiki wa Kaizer Chiefs wanaamini Feisal ni mchezaji sahihi kwao ambaye anaweza kuirudisha timu yao katika hadhi ya kimataifa, Kaizer wanataka kutengeneza timu kupitia…
Kaze Kutua Kaizer Chiefs
Kocha wa zamani wa klabu za Yanga sc na Namungo Fc Cedrick Kaze amepata ofa ya kujiunga na timu ya Kaizer Chiefs kama kocha msaidizi wa Nasredine Nabi aliyefanya nae kazi katika klabu ya Yanga sc. Kaze amepata dili hilo baada ya kuhitajika na kocha mkuu Nabi na sasa wameshakubaliana kila kitu na mabosi wa…
Yanga sc Kukipiga na Kaizer Pre Seasons
Klabu ya Yanga Sc imekubali ombi la Kaizer Chief kucheza mchezo wa Kirafiki wakati wa Pre Season ambapo mchezo huo utapigwa nchini Afrika Kusini mwezi Julai (7) licha ya awali kusitasita kutoa maamuzi kabla ya kujua ratiba ya Pre Season. Mabosi wa klabu hizo mbili wana urafiki na msimu huu Rais wa Yanga sc Eng.Hersi…
