Kagoma 1

Yanga Sc Yamkana Kagoma

Klabu ya Yanga sc imekanusha taarifa za kumsamehe kiungo wa klabu ya Simba sc Yusuph Kagoma ambaye imemfungulia mashtaka katika kamati ya usajili na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kutokana na kusaini mkataba na klabu hiyo kisha kuiacha na kujiunga na klabu ya Simba sc. Yanga sc inadai kwamba ilikubaliana na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks