Kambole Aiweka Matatani Yanga sc
Klabu ya Yanga sc imefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wa ndani na Shirikisho la soka duniani (Fifa) kutokana na kutokamilisha malipo ya mshambuliaji Lazarus Kambole ambaye alishinda kesi dhidi ya klabu hiyo akidai malimbikizo ya malipo ya mishahara na pesa za usajili. Kambole aliyejiunga na Yanga sc Juni 16 2022 na Septemba mwaka huo huo…
