451300538 1045248350294429 8304978639879196214 n

Kamwe Ashtua Mashabiki Yanga sc

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuachia nafasi hiyo huku akisema muda wake umemalizika ambapo amefanikiwa kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili tangu alipojiunga akitokea Azam Tv ambapo alikua ni mchambuzi wa masuala ya soka. Kamwe alitangaza hayo kupitia mtandao wake wa kijamii kuwa anaondoka klabuni hapo ambapo taarifa za ndani…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks