450546768 18428827744071034 1530696432493790244 n

Kanoute Apewa “Thank You”

Kiungo Sadio Kanoute hatokua sehemu ya kikosi cha Simba sc kwa msimu ujao baada ya mabosi wa klabu ya Simba sc na mchezaji huyo kukubaliana kuachana baada ya mkataba wa mchezaji huyo kufikia tamati na mazungumzo ya mkataba mpya kushindwa kufikia muafaka. Kanaoute Raia wa Mali anaondika klabuni hapo baada ya kuhudumu kwa miaka mitatu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks