Simba Sc Yakabidhi Msaada Kateshi
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Desemba 5, 2023 jijini Dar es Salaam amepokea vyakula na bidhaa mbalimbali ikiwemo sukari, sabuni, unga wa ngano na Maji kutoka kwa uongozi wa klabu ya Simba ikiwa ni msaada kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Akizungumza mara baada…
