Kengold Fc Kuungaunga Mpaka Tabora
Wachezaji wa timu ya KenGold FC kila mmoja anasafiri kivyake kwenda mkoani Tabora kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini dhidi ya Simba Sc utakaofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Juni 18 2025. Kwa mujibu wa shuhuda wetu ni kuwa imeamuliwa wachezaji wa timu hiyo ya wakubwa ambao walikua…
