kibu pic

Kibu Dennis Azua Maswali

Mpaka sasa staa wa klabu ya Simba sc Kibu Dennis hajaripoti kambini nchini Misri kuungana na mastaa wengine ambao wanajifua vilivyo chini ya kocha mpya Fadlu Davis ambaye ametua klabuni hapo msimu huu na sasa anatafuta kikosi cha kwanza kwa ajili ya msimu ujao. Inasemekana kuwa staa huyo ana mgomo baridi unaotokana na kupata ofa…

Soma Zaidi
kibu pic

Kibu Asalimu Amri Simba Sc

Mshambuliaji Kibu Dennis amekubali yaishe baada ya kuamua kusalia klabuni Simba sc kwa miaka miwili zaidi ambapo siku chache zijazo atasaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni hapo licha ya kuwa na ofa kutoka klabu zingine. Kibu amekubaliana na ofa ya Simba sc ambapo atasaini mkataba huo wenye thamani ya shilingi milioni mia tatu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks