Kijiri Atua Simba Sc
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki Kelvin Kijiri aliyekua Singida Black Stars kwa mkataba wa miaka miwili ambapo sasa yupo njiani kujiunga na timu hiyo iliyoko kambini nchini Misri. Kijiri anaungana na mabeki Shomari Kapombe na David Kameta kuunda jeshi kamili la Simba sc kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu huku…
