Muundo na Namna Klabu ya Yanga Sc Inavyoendeshwa
Klabu ya Yanga sc ilianzishwa rasmi mwaka 1935 ikiwa kama klabu ya wanachama iliyokua na lengo la kujumuisha vijana wa kitanzania katika kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kijamii lakini ilianzia kama timu ya New Youngs ambayo mwaka 1938 ilisambaratika na baadhi ya wachezaji wake wakaenda kuunda timu iliyokuwa Sunderland, ambayo hivi sasa inajulikana kama Simba….
