Yanga sc Yairarua Kiluvya United
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kiluvya United katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex siku ya Septemba 4. Yanga sc imecheza mchezo huo ikiwa ni kujiandaa na michuano ya ligi kuu na kuwaweka fiti mastaa wake ambao hawajaitwa katika vikosi vya timu zao za…
