Yao Kouasi Amponza Jeremia Juma
Nyota wa Tanzania Prisons Jeremia Juma amekumbana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi milioni moja baada ya kumkanyaga nyota wa Yanga Yao kouassi kwenye mechi ambayo Prisons ilipoteza kwakufungwa magoli 2-1 iliyofanyika siku ya Jumapili Februari 11. Adhabu hiyo imetolewa na bodi ya ligi kuu nchini baada ya kufanya kikao…
