kramo

Kramo Hatarini Simba sc

Pamoja na kwamba amesajili msimu huu klabu ya Simba inapanga kuachana na winga Aubin Kramo hasa kwenye dirisha dogo la mwezi Januari kufuatia majeraha yaliyomuandama na kumuweka nje kwa muda mrefu. Winga huyo raia wa Ivory Coast hajacheza mchezo wowote rasmi klabu hapo tangu asajiliwe msimu huu kutokea klabu ya Asec Mimosa ya nchini kwao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks