416908415 930657885086810 4734288942252965728 n

Yanga Sc Vs Kvz Hakuna Mbabe

Klabu ya Yanga sc imeshindwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa kombe la Mapinduzi wa Kundi C dhidi ya Kvz uliofanyika katika uwanja wa Amani Visiwani humo baada ya kulazimishwa suluhu katika dakika tisini za mchezo huo. Kocha Miguel Gamond aliamua kuanza na vijana kutoka kikosi B huku akiwachanganya na wakongwe kama Jonas Mkude,Crispine…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks