Lameck Lawi

Lawi Kuitumikia Coastal Union

Imefahamika kuwa mchezaji Lameck Lawi ataitumikia klabu ya Coastal Union baada ya mabosi wa klabu hiyo kufikia makubaliano na klabu ya Simba sc ili mchezaji huyo asalie klabuni hapo. Awali ilifahamika kuwa mchezaji huyo alisaini Simba sc lakini kutokana na kukiukwa kwa baadhi ya vipengele vya makubaliano basi mabosi wa klabu hiyo waliamua kumpeleka nje…

Soma Zaidi
Lameck Lawi

TFF Yakwepa Msala wa Lawi

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) imewapa maagizo klabu ya simba na Coastal union wakae mezani wajadiliane wenyewe wapate hatima kuhusu mchezaji beki lawi ambaye alisaini simba sc huku coastal union nao wakidai baado ni mchezaji wao. Simba sc na Coastal Union zimeingia katika mgogoro kuhusu usajili wa…

Soma Zaidi
Lameck Lawi

Lawi Azua Kizazaa TFF

Klabu ya Simba sc imefungua shauri katika kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) ikilalamikia klabu ya Coastal Union juu ya usajili wa mchezaji Lameck Lawi ambaye mpaka sasa klabu ya Coastal Union imekaa kumruhusu kujiunga na Simba sc. Awali baada ya Simab sc kumtambulisha Lawi kama mmoja ya…

Soma Zaidi
Lameck Lawi

Lawi Atua Simba sc

Taarifa kutoka ndani ya Klabu hiyo ni kwamba tayari uongozi wa Simba Sc umemalizana na Beki ya kati kutoka Coastal Union Lameck Lawi baada ya kupeleka kitita cha milioni 205 ambapo Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya Simba kwa makubaliano ya pande mbili. Beki huyo bora chipukizi wa ligi kuu msimu uliopita amekua…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks