Selemani Kidunda Ahitimu Kozi ya Ukocha wa Ngumi, Apata Cheti cha Kimataifa
Bondia mashuhuri wa ngumi za kulipwa kutoka Tanzania, Selemani Kidunda, ameweka historia mpya katika taaluma yake ya michezo baada ya kuhitimu rasmi kozi ya ukocha wa mchezo wa ngumi na kutunukiwa cheti cha kimataifa chenye hadhi ya daraja la nyota moja. Kidunda, ambaye kwa miaka mingi amekuwa miongoni mwa wanamasumbwi wanaotambulika zaidi nchini, sasa amepewa…
