Snapinsta.app 407408434 1059919395424898 244194545285277683 n 1080

Simba Sc Yakabidhi Msaada Kateshi

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro  leo Desemba 5, 2023 jijini Dar es Salaam amepokea vyakula na bidhaa mbalimbali ikiwemo sukari, sabuni, unga wa ngano na Maji kutoka kwa uongozi wa klabu ya Simba ikiwa ni msaada kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea Katesh wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Akizungumza mara baada…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks