Samia Motorcross Championship Kurejea Julai 2025
Mashindano ya pikipiki ya Samia Motocross Championship yanatarajiwa kurejea kwa msimu wa pili kuanzia Julai 12, 2025, katika viwanja vya Lakilaki, Kisongo, Mkoani Arusha baada ya kumalizika kwa Msimu wa kwanza wa mashindano hayo yaliyofanyika mwezi Julai mwaka 2024. Akizungumza leo 27 Mei, 2025 katika hafla ya kutangaza rasmi kuanza kwa msimu huo mpya, Mkuu…
