Screenshot 20250130 182643 Instagram

Majogoro Akana Kutemwa Chipa United

Kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania Baraka Majogoro amekana taarifa za kuwa ameachana na klabu yake ya Chippa United kwa makubaliano ya pande zote mbili zilizozagaa hivi karibuni hapa nchini. Majogoro (27) ambaye alijiunga na klabu hiyo ya Afrika Kusini Agosti 2023 hadi 2027 akitokea Klabu ya KMC amesema  kwa sasa bado  ni Mchezaji…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks