Snapinsta.app 420196423 18315772612135476 4647527270918209078 n 1080

Yanga Sc Yawasili Afrika Kusini

Msafara wa wachezaji,Mashabiki na viongozi wa klabu ya Simba sc umewasili salama nchini Afrika kusini tayari kwa mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns ya nchini Afrika ya kusini utakaofanyika jijini Pretoria siku ya ijumaa saa tatu usiku. Kikosi hicho mapema kiliwasili katika uwanja wa Oliver Tambo jijini Johanesburg kisha…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 434464371 412730181336181 6425068050015185383 n 1080

Mamelod Wawasili Usiku

Kikosi cha klabu ya Mamelod Sundowns tayari kimewasili nchini usiku ya machi 28 kuwakabili Yanga sc siku ya Jumamosi katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika utakaofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Msafara wa kikosi hicho umewasili baada ya mastaa saba waliokua nchini Algeria…

Soma Zaidi
426649126 951051316380800 3084405876531100155 n

Mudathir Akabidhiwa Mamelod

Klabu ya Yanga sc imeamua mchezo wa hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mamelod Sundowns ya Afrika kusini kuikabidhi kwa jina la “Muda day” ikiwa ni moja ya njia ya kuenzi mchango wa mchezaji Mudathir Yahaya Abbas kikosini humo. Yanga sc imekua na utaratibu wa kuipa thamani michezo…

Soma Zaidi
cafcl draw scaled

Yanga Sc Vs Mamelod Sundowns Caf

Klabu ya Yanga sc itavaana na Mamelod Sundowns katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya droo iliyofanyika jioni ya leo jijini Cairo nchini Misri yalipo makao makuu ya Shirikisho la soka barani Afrika (Caf). Yanga sc kwa mujibu wa droo itaanzia nyumbani kati ya Machi 29-31…

Soma Zaidi
Teboho Mokoena

Mokoena Anukia Al Ahly

Kiungo wa klabu ya Mamelod  Sundowns ya Afrika ya Kusini Teboho Mokoena anatajwa kuwa mbioni kujiunga na mabingwa wa klabu bingwa barani Afrika klabu ya Al ahly ya nchini Misri baada ya mabingwa hao kuvutiwa na kiwango cha kiungo huyo katika michuano ya mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast. Staa huyo kama dili litafanikiwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks