image 20

Alisson Chanzo Kipigo cha Liverpool Anfield: Uchambuzi wa Kina wa Machozi ya Majogoo wa Jiji

Uwanja wa Anfield, ambao kwa miaka mingi umekuwa kama ngome isiyopenyeka, hivi karibuni umeshuhudia matokeo yaliyowaacha mashabiki wa Liverpool nchini Tanzania na kote duniani kwa mshangao mkubwa. Katika mchezo uliokuwa na hisia kali dhidi ya mahasimu wao Manchester City, mjadala mkubwa umeibuka ukidai kuwa kipa nambari moja, Alisson chanzo kipigo cha Liverpool Anfield. Makala haya…

Soma Zaidi
Foden

Phoden Bora Epl

Kiungo wa klabu ya Manchester City Phil Phoden ameibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa mwaka 2023/2024 baada ya kutangazwa kuchukua tuzo hiyo siku ya Jumamosi Mei 18 mwaka huu. Katika Tuzo hizo  Foden huo amempiku mchezaji mwenzake, Erling Haaland, Declan Rice na Martin Odegaard wote wa Arsenal, Cole Palmer…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks