Simba Sc Yatua Kigoma Kuivaa Mashujaa Fc
Msafara wa kikosi cha timu ya Simba sc umefanikiwa kuwasili salama mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Nbc nch8ini dhidi ya Mashujaa Fc utakaofanyika jioni ya leo katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo. Simba sc iliwasili kwa kuchelewa kutokana na uhaba wa viwanja vya kufanyia mazoezi mkoani humo ambapo baada…
