Mazoezi ya Mwisho katika uwanja wa kaitaba kabla ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Kagera sugar

Matampi Ampiku Diarra

Golikipa wa klabu ya Coastal Union Ley Matampi amempiku golikipa wa klabu ya Yanga Djigui Diarra na kuwa kipa mwenye clean sheets nyingi baada ya kufikisha 15 huku Diarra ambaye hakucheza mechi ya leo dhidi ya Tanzania Prisons akibakiwa nazo 14. Matampi ambaye hakua na mwanzo mzuri alipojiunga na Coastal Union akitokea nchini Congo Dr…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks