Screenshot 20250319 133748 Gallery

Mayanga Kutua Mashujaa Fc

Klabu ya Mashujaa United imefanikiwa kumng’oa kocha Salum Mayanga katika klabu ya Mbeya City Fc kuja kuchukua nafasi ya ukocha mkuu klabuni hapo baada ya klabu hiyo kuachana na kocha Mohamed Barres kutokana na matokeo mabovu. Mayanga alikuwa miongoni mwa makocha waliokuwa wakifukuziwa na uongozi wa Mashujaa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Bares na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks