Mbappe Apiga Mbili na Kuweka Shinikizo kwa Messi Katika Mbio za Rekodi ya Mabao Kombe la Dunia

Mbappe Apiga Mbili na Kuweka Shinikizo kwa Messi Katika Mbio za Rekodi ya Mabao Kombe la Dunia

Mbappe apiga mbili na kuiongoza Ufaransa kuichapa Iraq mabao 3-0 katika Kombe la Dunia 2026. Soma jinsi nyota huyo alivyosogea karibu na rekodi ya Lionel Messi na kuendelea kuandika historia ya soka duniani. Mbappe Apiga Mbili na Kuiongoza Ufaransa Kutikisa Kombe la Dunia Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe, ameendelea kuthibitisha kwa nini anatajwa kuwa mmoja…

Soma Zaidi
Mbappe Airudisha Real Madrid Mbio za Ubingwa Baada ya Kuitandika Villarreal - sportsleo.co.tz

Mbappe Airudisha Real Madrid Mbio za Ubingwa Baada ya Kuitandika Villarreal 2-0

Ligi Kuu ya Hispania, La Liga, imezidi kupata msisimko baada ya mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe, kuonyesha makali yake yaliyokuwa yanatubiriwa kwa hamu. Katika mchezo mkali uliopigwa dimba la Santiago Bernabeu, Mbappe airudisha Real Madrid mbio za ubingwa kwa kishindo baada ya kufunga mabao mawili muhimu yaliyoisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi…

Soma Zaidi
ND MBAPPE 01 GettyImages 2107603990

Mbappe Atua Real Madrid

Mshambuliaji wa klabu ya Paris St.German Kylian Mbappe amejiunga na klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania kwa dau la paundi 150 kwa mkataba wa miaka mitano baada ya kugoma kuongeza mkataba katika klabu yake ya sasa ya Psg. Mbappe alijunga na Psg mwaka 2017 akitokea Fc Monaco ambapo aligoma kujiunga na Real Madrid akiichagua…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks