Yanga Sc Wailaza Medeama 3-0
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu baada ya kuifunga Medeama Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kombe la klabu bingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Mchezo wa nne kwa timu hizo katika kundi D la michuano hiyo unaifanya Yanga sc sasa kufikisha alama tano…
