MO Dewji Aipa Mgongo Coastal Union, Afungua Ukurasa Mpya Kwnye Soka La Tanzania
Kwa mara nyingine tena, jina la Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji limeibuka kwenye vichwa vya habari vya soka nchini Tanzania. Safari hii si kwa sababu ya Simba SC – timu ambayo amewekeza damu, jasho na fedha kwa miaka mingi – bali kwa uamuzi wake mpya wa kuidhamini klabu ya Coastal Union kupitia bidhaa yake…
