Yanga SC Yapiga Tizi Kuwavaa Al Ahly Misri, Yaingia Mazoezi Mazito Alexandria
Klabu ya Yanga SC Yapiga Tizi Kuwavaa Al Ahly Misri ikiwa katika maandalizi makubwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa kihistoria wa Afrika, Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Januari 23, 2026, katika Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, kuanzia saa 1:00 usiku kwa muda wa Tanzania. Kwa mujibu…
