451135699 1011178030385609 2988239930441951884 n

Awesu Awesu Aleta Utata Simba Sc,Kmc

Klabu za Simba Sc na Kmc zimeingia katika mgogoro kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu ambaye tayari ametambulishwa na Simba Sc akijiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Kmc wamesisitiza kuwa usajili huo ni batili kwa kuwa mchezaji huyo ana mkataba na klabu hiyo wa miaka mwaka mmoja utakaoisha mwaka 2015 huku…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks