Screenshot 20241115 193310 Instagram

Bodi ya Ligi Yamshukia Gamondi

Kamati maalumu ya usimamizi wa ligi kuu chini ya bodi ya ligi kuu nchini imempiga faini ya shilingi milioni mbili aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi kwa kosa la kumsukuma kocha msaidizi wa klabu ya Singida Black Stars Sliman Marloen katika mchezo wa ligi kuu namba 32 uliofanyika katika uwanja wa New…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks