mkude

Mkude,Mo Nov 27

Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam inatarajia kusikiliza usuluhishi katika kesi ya kiungo nyota wa Yanga Sc Jonas Mkude ambaye anaidai kampuni ya Mohamed Enterprises (Tanzania) Limited fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha yake katika matangazo ya biashara ya bidhaa zake bila ruhusa yake. Kesi hiyo ya madai namba 192…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks