mokoena 1 800x529 1

Mokwena Amkubali Feisal

Kocha wa timu ya Wydad Casablanca Rulani Mokwena ameonyesha kuvutiwa zaidi na uwezo wa kiungo wa klabu ya Azam Fc Feisal Salum baada ya kumfuatilia kwa kina katika mchezo wa kirafiki baina ya klabu hiyo na timu yake ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco. Mokwena ambaye alikua kocha wa Mamelod Sundowns kuanzia mwaka 2022 alipopewa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks