431071151 18407572303071034 1368139917747080025 n

Simba Sc Yafungwa na Wajelajela

Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ikiwa ni mchezo wa raundi ya 16 wa klabu hiyo. Uamuzi wa Mwalimu Abdelhack Benchika kuwapumzisha Mohamed Hussein,Ayoub Lakred,Che Fondoh Malone ulimtokea puani baada ya Samson Mbangula kufunga mabao mawili katika mchezo…

Soma Zaidi

Simba Sc Rasmi Yahamia Moro

Klabu ya Simba sc sasa imetangaza kuwa itautumia uwanja wa Jamhuri ulioko mkoani Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani kutokana na uwanja wa Uhuru na Benjamini Mkapa kufungwa na Serikali kwa ajili ya kufanyiwa maboresho makubwa. Awali Simba sc ilikua ikitumia uwanja wa Benjamini Mkapa kama uwanja wake wa nyumbani lakini hivi sasa imelazimika kuhamia…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks