images 9

Azam Fc Yatua kwa Mshery

Klabu ya Azam Fc imewasiliana na uongozi wa Kipa AbouTwalib Mshery ili kumsajili baada ya kushindwa kumbakisha kipa Mustapha Mohamed aliyeko kwa mkopo kutokea klabu ya El Merrekh Fc ya Sudan. Azam Fc inamuona Mshery kama chaguo sahihi katika mradi wao wa kuboresha kikosi Chao cha muda mrefu ambapo sambamba na mshahara mnono pia wamemuahidi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks