Screenshot 20250723 103420 Instagram

Mamilioni Yambakisha Mudathir Yanga Sc

Zaidi ya shilingi milioni 100 zimetumika kumshawishi kiungo Mudathir Yahaya kusalia katika klabu ya Yanga sc kwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili. Mudathir tayari alikua na ofa kutoka klabu za Azam Fc pamoja na Simba sc ambazo zilitaka kumsajili baada ya kuonyesha uwezo mzuri tangu ajiunge na Yanga sc misimu miwili na nusu iliyopita…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks