FB IMG 1744222266659

Mukwala Atwaa Tuzo Machi 2025

Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Stephen Desse Mukwala amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nbc kwa mwezi machi akiwashinda Ellie Mpanzu na Pascal Msindo wa klabu ya Azam Fc ambao aliingia nao Fainali. Kamati ya Tuzo iliyochini ya bodi ya ligi kuu ilimchagua Mukwala kutokana na kuonyesha kiwango kizuri akifunga mabao manne…

Soma Zaidi
Screenshot 20240703 180946 Instagram

Simba Sc Yasajili Straika la Mabao

Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Uganda Stephen Mukwala kwa mkataba wa miaka miwili akiwa huru baada ya kumaliza Mkataba na klabu yake ya mwanzo ya Asante Katoko ya nchini Ghana. Mshambuliaji huyo yupo kwenye kiwango bora sana hasa msimu uliopita ambapo amepata nafasi katika kikosi cha timu ya Taifa ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks