Kennedy Musonda amewaaga rasmi wanachama,wapenzi na Mashabiki wa klabu ya Yanga sc - sportsleo.co.tz

Musonda Aaga Yanga Sc

Mshambuliaji Kennedy Musonda amewaaga rasmi wanachama,wapenzi na Mashabiki wa klabu ya Yanga sc baada ya kumaliza mkataba wake na klabu hiyo huku kukiwa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kwa pande zote. Musonda ameitumikia Yanga sc kwa miaka mitatu akijiunga mwaka 2021-2022 wakati wa dirisha dogo akitokea klabu ya Power Dynamos ya nchini kwao Zambia….

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks