Yanga Sc Yamtambulisha Mwamnyeto
Baada ya tetesi za muda mrefu klabu ya Yanga sc imethibitishwa kumuongezea Mkataba nahodha wake Bakari Mwamnyeto ambapo sasa atasalia klabuni hapo kwa miaka miwili zaidi mpaka mwaka 2026 baada ya kusaini miaka miwili. Mwamnyeto alikua akinyatiwa kwa ukaribu na Simba Sc lakini mchezaji mwenyewe aliamua kusalia Jangwani ambapo amekua akibadilishana nafasi kwa ukaribu na…
