Mwashinga Agonganisha Vilabu Ligi Kuu
Klabu ya JKT Tanzania ipo katika hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa kiungo James Mwashinga kutoka katika klabu ya Pamba Jiji Fc ambae mkataba wake umeisha klabuni hapo. Mpaka sasa kuna vita Kubwa sana ya kumnasa kiungo huyo fundi ambae alikuwa na msimu bora sana na wanalindanda akicheza maeneo muhimu ya ulinzi na kiungo. Mbali…
