Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa masoko na mauzo wa timu ya Chelsea ya England Barnes Hampel pamoja ujumbe wake Ikulu Zanzibar siku ya Februari mosi, 2024. Katika mazungumzo yao wamezungumzia kuhusu kuitangaza Zanzibar katika sekta ya utalii na kuanzishwa kwa Academy za mpira…
