Mzamiru Kuikosa Yanga Sc
Kiungo wa klabu ya Simba Sc Mzamiru Yassin anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki mbili ili kujitibu majeraha yake ya kisigino yanayomsumbua. Mzamiru aliumia katika mazoezi ya klabu hiyo na hivyo kumfanya awe chini ya jopo la madaktari wa klabu hiyo. Kutokana na majeraha hayo mchezaji huyo anatarajiwa kuikosa mechi baina ya klabu…
