Screenshot 20250624 101942 Instagram

Wamisri Kuamua K/koo Derby

Shirikisho la Soka nchini (TFF) limeamua kutumia waamuzi kutoka nje ya nchi katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc utakaofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya jumatano Juni 25 2025. Mchezo huo maarufu kama Dabi ya Kariakoo kati ya timu hizo utachezeshwa na…

Soma Zaidi
Screenshot 20250115 213717 Instagram

Ligi Kuu Kurejea Februari 1

Bodi ya ligi kuu nchini ( TPLB ) imetangaza mabadiliko ya kurejea kwa michezo ya ligi kuu ( NBC ) kuanzia Februari mosi mwaka huu badala ya Machi mosi ambayo hapo awali ilipangwa baada ya kusogezwa mbele kwa michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan). Awali ilibidi ligi kuu irejee baada ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks