FwZjp mXwAAnQyw

Bajana,Ndoye Kutibiwa Afrika Kusini

Klabu ya Azam Fc imetangaza kuwa mastaa wake wawili Sospeter Bajana na Malickou Ndoye wataondoka kwenda nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu ya nyonga katika hospitali ya Vicent Palloti iliyopo jijini Cape Town nchini humo. Mastaa hao walimia kwa nykati tofauti tofauti katika michezo ya ligi kuu ambapo baada ya tathmini ya kina…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks