Ngoma Kutua Misri
Kiungo mkabaji aliyemaliza mkataba wake katika klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma (31) anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania d’Agadir kutoka Morocco muda wowote kuanzia sasa. Kiungo huyo mwenye uwezo wa kucheza katika eneo la ulinzi na ushambuliaji anaondoka nchini muda wowote kwenda nchini humo kukamilisha dili hilo la usajili ambapo atavuna pesa ndefu. Ngoma…
